Monday, May 13, 2013

UKARABATI WA BARABARA MAKETE NJOMBE SEHEMU ILIYOHARIBIWA NA MVUA

Katapila likiwa eneo lililoharibiwa na maji ya mvua kwenye kipande cha lami barabara kuu ya Makete-Njombe katika kijiji cha Usungilo wilayani Makete tayari kabisa kurekebisha eneo hilo
 Ukarabati ukiendelea, mapipa yakiashiria hapo ndipo sehemu iliyoathiriwa na mvua
 Huu udongo unaouona haukuwepo baada ya mvua kuusomba hali iliyosababisha eneo hili kumegeka na kumomonyoa lami, na huu ni udongo mpya uliojazwa wakati ukarabati ukiendelea
Kina mama wakiangalia eneo hilo linalofanyiwa ukarabati
Hapa panapoonekana ndipo palipobomolewa na mvua, hivyo kwa hivi sasa pamejazwa kifusi kabla ya kufanyika utaratibu wa kurejesha lami kama palivyokuwa awali
Wajameni hiki kibao kitasomeka kweli hasa kwa madereva ambao hawajui kama ujenzi unaendelea jirani? maana hii rangi waliyotumia kuandikia duuuuuu!(Picha zote na Edwin Moshi)

No comments:

Post a Comment