Friday, May 10, 2013

MAZISHI YA WALIOLIPULIWA NA BLOMU KANISANI ARUSHA

Waziri wa Mambo ya ndani, Dk Emmanuel Nchimbi
akiweka shada la maua kwa niaba ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda aliyeondoka kabla ya zoezi hilo kufanyika, katika ibada ya mazishi  ya waumini waliokufa baada ya kulipuliwa na blomu katika Kanisa la Katoliki, Arusha.. (PICHA NA SEIF MANGWANGI)


 Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa akitoa heshima za mwisho kwa moja ya miili hiyo. (PICHA NA SEIF MANGWANGI)
 Kiongozi wa Kambi ya Upinzani bungeni, Freeman Mbowe
akiweka shada la maua katika moja ya makaburi hayo. (PICHA NA SEIF MANGWANGI)
 baadhi ya majeneza yenye miili ya marehemu ikiwa kanisani tayari kuombewa

No comments:

Post a Comment