Kikosi cha TRA MARA
Mfungaji wa goli la Pili Alhaj Majogoro kushoto
Haikuwa rahisi kuyakubali Matokeo hawa Jamaa wa TRA hapa ni baada ya Mechi
Wengine walificha uso kwa aibu ni Ramadhani Magoe mchezaji mkongwe hapa nchini
Mgendi akijiuliza baada ya kichapo chha bao 2-1
Ejaga Mahamba wa TRA alikubali Matokeo
Baada ya mechi jamaa walianza kuwasiliana na vyumba vya habari
Kikosi cha wana habari Mara
Baada ya ukaguzi salaam ilikuwa muhimu
Furaha ya ushindi
Umakini ulikuwepo katika kuchukua Majina ya wafungaji
Mkongwe Ally Mchumila,wanahabri wa heshima
Afisa Utamaduni Manispaa ya Musoma,Mwl Luhende
Furaha ya ushindi
Maelekezo nayo muhimu
Amani Richard Kocha wa timu ya TRA Mara iliyokubali kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa wanahabari wa Mara leo
No comments:
Post a Comment