Aliyekuwa waziri wa Miundombinu na Uchukuzi Zanzibar Mh Hamad Masoud amejiuzulu wadhifa huo kufuatia ajali ya Meli iliyosababisha vifo vya Mamia ya Watanzania.
Kwa mujibu wa msemaji wa jeshi la Polisi Zanzibar Inspekta Mohamed Mhina amesema kuwa waziri huyo aliandika barua ya kuomba kujiuzulu kwa Rais wa Zanzibar Dr Ally Mohamed Shein hatua ambayo Rais ameikubali na kumteua mtu atakayeshika wadhifa huo.
No comments:
Post a Comment