Wednesday, July 6, 2011

SIMBA YACHANUA KAGAME CUP LEO NI WATANI WAO YANGA

WEKUNDU wa msimbazi, timu ya soka ya Simba imetinga nusu fainali ya michuano ya Kagame baada ya kuikwanyua Bunawaya ya Uganda kwa mabao 2-1 katika mechi ya robo fainli iliyopigwa kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.
 
Kwa ushindi huo, Simba itakwaana na El Mereikh ya Sudan katika mechi ya nusu fainali mwishoni mwa wiki, ambapo El Mereikh ilikata tiketi hiyo baada kuifunga Ulinzi ya Kenya. 


Watani wao wa jadi kazi kwao leo

No comments:

Post a Comment