Saturday, October 23, 2010

SALAAM ZA ELIUD ESSEKO TONGOLA (MKOREA) TOKA KOREA


Dear Brother Mgendi,

Jamani baada ya salaam na michapo ya hapa na pale kati yangu nay eye akaandika ujumbe huu muhimu

Leo ningependa kuambatanisha picha za Gym yetu hapa Korea. Master wetu ni Olyimpic Gold Medalist. Anajulikana sana duniani. Ninaendelea kuwasiliana na wadau wengine hapa ili tuweze kuanzisha Gym ya kisasa hapo Musoma. Tunao Waalimu wazuri kama Abdalah Mkamba, Seremani Kumcha, Elnest Makengere, etc. Tukiwatumi hawa na wengine toka nje, michezo itakuwa ajira na Musoma itakuwa ya kwanza kuleta Gold Medal Tanzania.

Mungu Ibariki Musoma na Mungu Ibariki Tanzania.

Wasalaam,
Eliud Esseko Tongola (Mkorea)


                                                    Kama kawa Tongola mazoezini
                                        Haya bwana chezea wembe upate maumivu yake
                                                Washiriki wenzake huko Korea
                                           Washiriki wenzake huko Korea
                         Hawa jamaa sijui ndio walimu wake au wanafunzi wake

No comments:

Post a Comment