Salehe Julius(13) akiwa hospital akipata tiba hospital ya mkoa wa Mara Leo
Salehe Julius(13) akiwa hospital akipata tiba hospital ya mkoa wa Mara Leo
Salehe Julius(13) akiwa hospital akipata tiba hospital ya mkoa wa Mara Leo
Taarifa zinasema kuwa kijana aliulizwa je unajua maana ya neno PEOPLE? akasema sijui akalambwa panga kwenye mkono wake wa kushoto.kukatwa kwa mkono huo kunapelekea hali ya kisiasa mkoani hapa kuwa tete hasa baada ya matukio kadha wa kadha kama hayo kutokea mjini hapa,Taarifa zinasema mtu huyo alikuwa amevaa nguo yenye nembo ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na kisha kukimbia.Jamani uchaguzi ni amani si vita tunahitaji kiongozi mwenye kujali watu si kutenganisha watu.
Mtoto huyo amama yake mzazi ni balozi wa nyumba kumi lakini msaada mkubwa alipewa na mgombea ubunge kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Vincent Nyerere.
No comments:
Post a Comment