Mamia ya wananchi wakimsikiliza Vicent Nyerere leo jioni
Asema hakuna sababu ya wananchi kupiga sababu ya vyama kwani kila chama kina sera yake na mwananchi ndio mwamuzi wa mwisho,Nyerere leo alikuwa katika kata ya Kitaji mjini Musoma. Ok wana Musoma kazi kwenu
No comments:
Post a Comment