Saturday, September 4, 2010

JAMANI HIZI ZOTE ZINAUZWA

                                   
Jamaa amesisimama kwenye bidhaa kadha wa kadha  katika kampuni yake ya  MAPA mjini Musoma ambayo mbali na kuuza magari pia vifaa kama Redio,frij.DVD Deck,TV , Baiskel,Pikipiki,viti vya Saloon na Matairi ya Mgari mapya n.k

No comments:

Post a Comment