Friday, August 27, 2010

MWALIMU NA MWANAFUNZI


Ni jambo zuri sana hasa unapokutana na mwalimu wako mkawa mnajadili masuala ya kitaifa,hapa niko na mwana wa Afrika uso kwa uso na mwalimu wake enzi hizo katika chuo cha habari Royal.

No comments:

Post a Comment