Mafunzo ya siku 5 ya uboreshaji wa habari katika Mitandao ya Kijamii yafikia tamati mkoani Dodoma
Washiriki wa mafunzo ya habari bora za uchunguzi wakiwa siku ya mwisho ya mafunzo hayo ya TMF mjini Dodoma
Mkufunzi Beda Msimbe akitoa maelekezo ya mwisho
Raziah Quallatein Mwawanga kutoka TMF akiwaeleza washiriki wa mafunzo hayo juu ya kazi watakazokwenda kuzifanya
No comments:
Post a Comment