Waendesha
mada katika semina ya kuangalia changamoto katika soko la muziki Afrika
Mashariki na njia za kuzitatua wakijadili umuhimu wa elimu ya muziki
katika soko la muziki, kutoka kulia ni Katibu Mtendaji wa Action Music
Tanzania, Mandoli Kahindi, Mkurugenzi wa sanaa kutoka Global Music
Academy Ujerumani,William Ramsay, Muaandaaji wa muziki wa Uganda, Kazi
Kasozi na Mkurugenzi Mtendaji wa Ketebul Music Kenya, Tabu Osusa
Semina hiyo
ambayo inaambatana na maonyesho ya kazi mbalimbali za muziki
yameandaliwa na Bayimba Cultural Foundation ya Uganda ambapo wadau
mbalimbali wa muziki kutoka nchi mbalimbali wamejumuika kujadili na
kubadilishana uzeofu juu ya soko la muziki kwa nchi za Afrika Mashariki.
picha za matukio zaidi tembelea DOADOA
No comments:
Post a Comment