MAJAMBAZI WAVAMIA MGODI WA BUHEMBA
majambazi
wavamia wanunuzi wa dhahabu hii leo maeneo ya Buhemba Mkoani Mara na
kudaiwa kuua pamoja na kujeruhi,Katika Taarifa ambayo blog hii ya Mwana wa Afrika imeipata usiku huu inasema kuwa majambazi hao wamevamia eno hilo wamewakata watu mapanga na wengine wakiwa wamekufa na wengine kukatwakatwa Mapnaga.
Kamanda wa Polisi mkoani Mara bado hajathibitisha tukio hili
Majeruhi wa mapambano hayo leo huko buhemba mkoani Mara
Picha kwa hisani ya BIND NEWZ
No comments:
Post a Comment