PART 2 YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI TANZANIA
Wadau wa habari
Waandishi na wadau wa habari
Mwandishi wa Habari mkongwe mkoani Maara Maximillian Ngesi akitoa somo ktk Uhuru wa Vyombo vya habari
Waandishi wa Habari
Jamaa wanamwaga maji kwa Tumbo
Katika kuadhimisha siku hiyo tuliigagadua timu ya sika ya NBC mabao 3-0
No comments:
Post a Comment