Monday, May 14, 2012

KAMATI YA USHAURI YA MKOA WA MARA AKUTANA LEO MJINI MUSOMA

       Wajumbe wa RCC mkoani Mara wakifuatilia kikao cha kamati ya Ushauri ya mkoa wa Mara


                 Wajumbe wa RCC wakifuatilia kikao hicho
  Mkuu wa mkoa wa Mara Bw John Gabriel Tuppa akifungua kikao cha RCC leo Asubuhi mjini musomA
Mwakilishi wa ITV/Radio one mkoani Mara George Mara akisoma kwa umakini taarifa ya RCC

  Mbunge wa Viti maalum kupitia Vijana mkoani Mara Esther Bulaya akiuliza swali kwa mwenyekiti wa kikao hicho Mkuu wa mkoa wa Mara Bw John Tuppa hayupo pichani

No comments:

Post a Comment