DP NA SERA YA UTANGANYIKA
Hapo jana nilifanya Mahojiano na Mwenyekiti wa Chama cha Democratic Party (DP) mkoani Mara Chrisant Nyakitita huku akisema kuwa Chama hicho kipo mahususi kumkomboa Mtanganyika.
Amesema DP hautambui Muungano wa Tanganyika na Zzanzibar bali Chama hicho kinaitambua nchi huru ambayo ni Tanganyika,Nyakitita ameongeza kuwa uwepo wa Muungano wa Tanzania ni kuwanyima fursa watanganyika na Wanzibar kuamua mambo yao
Mwenyekiti huyo ameongeza kuwa mbali na kumkomboa Mtanganyika lakini pia madhumuni mengine ni pamoja na kudumisha Demokrasia,Kujenga Maadili na kufufua Uchumi wa n
No comments:
Post a Comment