Tuesday, January 31, 2012

MWANA WA AFRIKA KATIKA MATUKIO,WORKSHOP BBC

           Meneja mradi wa BBC  Tanzania Rebecca Akiwa katika pozi na mmoja wa wanaworkhop
              Akitoa neno la shukrani katika kufunga workshop hiyo ya siku 5 mkoani Morogoro
   Du vijisenti hivyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 Mwasiliano ni muhimu sana katika mambo kama haya
                                              Mwana wa Afrika katika pozi
                   Wadau katika pozi
                     Sehemu sahihi kwa muda sahihi
Wakati nikiwa njiani kurejea Musoma nilikutana na gari hili maeneo ya salander likiwa limenusurika kupata ajali kama uonavyo picha hiyo

No comments:

Post a Comment