Monday, January 9, 2012

MWANA WA AFRIKA KATIKA MATUKIO

 Hiki ni chumba ambacho kitatumiwa katika mitambo ya Victoria fm
  Nchi yetu imebarikiwa kuwa na sura nzuri katika mabonde na milima
                   Nimeipenda maana mabinti hawa hawana ubishoo katika kukata ngunga
 Wakati mwingine mawazo yanaweza yakakuharibia siku,maana leo asubuhi sikuwa poa
               Wakati wengine hatuko poa wengine meno 32 nje

No comments:

Post a Comment