Monday, January 16, 2012

DJ TIMBA AOGOPA CAMERA YA MWANA WA AFRIKA

                          Hizi ni product ya wapi??????????????
 Leo mchana Dj Timba baada ya kutoka kwenye kipindi cha OVER DRIVE nilimuomba nimpige picha ili nitumie katika blog yangu ya mwana wa Afrika lakini alikataa na kuanza kukimbi huku na kule.Allianza kwa kujificha kwa Sofia James
 Akaona haitoshi akaamua kuficha sura yake kwa mikono yake lakini nami nikakomaaaaaaaaaaaa tu
                   Kijana ikabidi awe mpole kama unavyomuona hapo
 Hapa akaamua kuzuga kwa kusikilia Victoria Fm 90.6 Mara
Hapa ndipo akanogewaaaaaaaaaaaaaaa na burudani iliyokuwa hewani yaani we acha ilikuwa tabu kupata sura ya kijana huyu,Dj Timba ni mmoja wa Madj ambao Musoma hawapo kama unataka kuwahi mazishi wewe nenda usimpe nafasi ya kubadili mziki mmoja kwenda mwingine ndugu yangu hutoondoka kamwe.Kijana anapiga mziko Victoria fm 90.6 Mara

No comments:

Post a Comment