Saturday, January 14, 2012

AJALI YA PIKIPIKI LEO MCHANA MJINI MUSOMA

 Ajali Ajali Ajali ndiyo lilikuwa neneo la kila mtu
            Ajali sio kitu kizuri,Tazama mzee huyu alipata ajali lakin i alitaka kukimbia ili asikutwe na polisi wa usalama barabarani
Eneo ambalo ajali hiyo ilitokeaa

No comments:

Post a Comment