Afisa ardhi manispaa ya Musoma Jackson Magesa akifafanua jambo leo asubuhi ndani ya Victoria Fm
Umakini ulikuwa jambo muhimu sana katika mahojiano hayo leo asubuhi
Maswali ya papo kwa papo kutoka kwa msikilizaji wetu wa Victoria Fm
Mambo ni mengi na vifaa ni vingi lakini umakini ndiyo jambo la msingi hasa katika kipindi kama Big Breakfast
No comments:
Post a Comment