Sunday, July 31, 2011

SALAAM ZA MFUNGO WA MWEZI MTUKUFU TOKA KWA RAIS ZANZIBAR

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI ALHAJ DK ALI MOHAMED SHEIN AKISOMA RISALA YA KUUKARIBISHA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI NA KUWATAKIWA WANANCHI WOTE KHERI KATIKA MFUNGO HUO. PIA RISALA HIYO IMEWAHIMIZA KUFANYA IBADA KWA WINGI NA KUZIDISHA IMANI KATIKA JAMII. Picha na Ramadhani Othman Ikulu --ZANZIBAR from MICHUZ

No comments:

Post a Comment