Saturday, April 23, 2011

LIVERPOOOOL YASHINDA,CHELSEA SAWA MAN UNITED WAENDELEZA UBABE

Timu ya soka ya Man United leo imeendelea kukaa kileleni mwa ligi kuu ya uingereza baada ya kuibanjua timu ya Everton bao moja kwa bila ,Liverpool yawatandika Brimngharm bao 5kwa ubuyu

No comments:

Post a Comment