Nimependa sana mjadala uliokuwepo leo katika kituo cha TV cha Star Tv cha jijini Mwanza ambapo walikuwa wanaangalia mwenendo mzima wa Bunge la Jmahuri ya Muungano wa Tanzania,Naamini ni kweli kama itikadi zitaendelea ndani ya bunge katika masuala ya kitaifa hatutafika watanzania
No comments:
Post a Comment