Katibu wa NEC
tikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa kata ya Nyasura wakati
wa mkutano wa kampeni za udiwani ambapo aliwaeleza wananchi haikuwa
rahisi kuwaleta watanzania pamoja,hivyo basi wakatae kabisa vyama
viinavyotaka kuwatenganisha kwa misingi ya udini na ukabila.
Wakazi wa kata
ya Nyasura wakimsikiliza Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye
wakati wa mkutano wa kampeni za udiwani zinazoendelea nchi nzima ambapo
kata 27 zitafany uchaguzi wa madiwani.
Wakazi wa Kata
ya Nyasura wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumsikiliza Nape Nnauye ambaye
aliwaambia safari hii CCM haipo tayari kuhujumiwa na kutaka watu wengi
wajitokeze kwa wingi kwenda kupiga kura na kutoa wito kwa vijana kulinda
wapiga kura wa CCM.
Mgombea wa
Udiwani kwa tiketi ya CCM kata ya Nyasura Ndugu Alexander Mwikwabe
akiomba kura toka kwa wananchi wa Nyasura kwenye mkutano wa hadhara
uliofanyika Nyasura ambapo mgeni wa heshima alikuwa Katibu wa NEC
No comments:
Post a Comment