"Mimi
licha ya kusikia sifa na uchapakazi wa Lameck ni shuhuda tosha wa jimbo
hili nilipata nafasi ya kuja hapa Rorya miaka ya 1999 na ya 2000 hapa
palikuwa si pa kutamani kulala, ukilala unawaza kesho utaondokaje, na
jinsi ya kuondoka ni lazima udamke kuwahi basi la asubuhi ambapo kwa
siku kuna mabasi mawili au moja kutokana na kuwa na miundo mbinu mibovu
miaka hiyo lakini leo barabara ikiharibuka kidogo matrekta yya mbunge
yasiyo subiri bajeti yana sawazisha...Rorya mnataka nini?" Alihoji
msukuma. |
No comments:
Post a Comment