MAZISHI YA MWANAHABARI WA CHANEL TEN HUKO TUKUYU LEO
Mwili wa Marehemu Daudi ukiwekwa katika Nyumba yake ya Milele
Waandishi wa habari wakifukia Mwili wa Marehemu Daudi
Mke wa Marehemu akiwa juu ya Kaburi la mme wake huku akilia
Watoto wa Marehemu Daudi
Katibu mkuu wa CHADEMA Dr Slaa akiweka shada la Maua kwenye kaburi la Daudi
Wanahabari wakiendelea na kazi yao katika kuupasha Umma
Picha na Mbeya yetu
No comments:
Post a Comment