J4C NA ROMA WADAI HAKI ZAO
J4C na ROMA wadai HAKI zao na si kivingine wala nini bali kimuziki na pande za noizmekah.com
ndo jikoni mwa madai yote haya.
This is a track about how much Tanzania
needs change politically,socially,economically na sisi vijana kupitia
sanaa yetu ya music cha zaidi tupeane support siku ya iddi mosi pande za
stadium arusha kwenye Summer Jam ya "Mambo Jambo Radio"so this is an
official release ya HAKI ZETU mimi nimepita verse ya kwanza na ya tatu
then Roma kapita verse ya kati katika ii pini.
one love to all ma fans
No comments:
Post a Comment