Redio Victoria ya mjini Musoma yapongezwa kwa kurusha matangazo hayo moja kwa moja kutoka kwenye viwanja vya shule ya Msingi Mukendo,burudani na mambo mbalimabli yalikuwepo katika maadhimisho hayom huku watu mbalimbali wakijitokeza kuonyesha kuwa unapokuwa na TB si Kwamba ndio kifo kimrfika bali utatibiwa na pia utapona
SHIRIKI KIKAMILIFU KATIKA KUPAMBANA NA KIFUA KIKUU
Banda la Victori Fm likiweka sawa mitambo yake tayari kwa kwenda live Mkurugenzi wa Victoria Fm mwenye kitambaa kichwani akirekebisha mitambo tayari kwa kwenda live sikun ya maadhimisho ya kifua kikuu duniani ambapo kitaifa yalifanyika mkoani Mara
Mjomba ama Mrisho Mpoto alikuwa ni sehemu ya kivutio katika maadhimisho hayo akiwa pamoja na Ismail
Maandamano pia yalikuwepo katika maadhimisho hayo
Waandishi wa habari walikuwepo katika kufikisha ujumbe huo katika jamii
Burudani kutoka Tarime mkoani Mara ilikuwepo katika maadhimisho hayo
meza kuu
Usalama wa raia na mali zao ni muhimu katika mambo kama hayo
Taaluma ya habari hakika ni muhimu kwa jamii
Taarifa zaidi ni kwamba Studio za Victoria Fm kwa sasa zinatengenezwa upya hivyo I hope matangazo yatakuwa baaab Kubwa
No comments:
Post a Comment