Usafi wa sehemu unaanzia katika mazingira
Usafi mpaka maeneo hata kama kuna biashara za watu wa chini lakini sehemu inapendeza
Kumbukumbu ya Mti ambao inasemekana ulitumiwa na wakoloni zamani kunyonga mabibi na mababu zetu,unapatika jijini Mwanza ukuwa unaelekea uwanja wa Ndege
No comments:
Post a Comment